Tunatengeneza bidhaa (Masala) zetu kutokana na spice zinazolimwa hapa Zanzibar na Tanzania bara na kuwapatia wakulima soko la uhakika kwa kununua spice kutoka kwao, pia tumeajiri vijana wenzetu kupitia biashara hii na bidhaa zetu zimethibitiswa na ZFDA na ZBS. Hivyo kukua kwa bisha hii itasaidia kuongeza kutoa ajira kwa vijana wengi, kuhamasisha vijana kuingia katika kilimo ya viungo (spice) na kujipatia kipato. Sectors Agribusiness, Food production, Manufacturing Location Zanzibar, Tanzania Stage Sign in to view details Markets Sign in to view details Customer model Sign in to view details Contact Sign in to view details Social media